Audio and Pdf Library
_________________________________________________________________________________________________________________________________________________________Wakolosai 3:16 Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu, Ezekieli 3:3 Akaniambia, Mwanadamu, lisha tumbo lako, ulijaze tumbo lako kwa hili gombo nikupalo. Ndipo nikalila, nalo kinywani mwangu lilikuwa tamu, kama utamu wa asali and Ufunuo wa Yohana 10:9 Nikamwendea malaika yule nikamwambia kwamba anipe kile kitabu kidogo. Akaniambia, Kitwae, ukile, nacho kitakutia uchungu tumboni mwako, bali katika kinywa chako kitakuwa kitamu kama asali.
Mchungaji Stephen F. Mhina
Litakujia hivi punde
Mchungaji Stephen F.Mhina
Litakujia Hivi Punde
Mchungaji Stephen F. Mhina
Umuhimu wa Kutubu dhambi
Mchungaji Francis......1.3.23
Tamani kuwa na ROHO Mtakatifu
Mchungaji Stephen...9.2.24
Heri Kusamehewa Dhambi
Mchungaji Stephen... 17.2.24
Umuhimu wa kumpenda Mungu
Mchungaji Stephen F. Mhina
Mchungaji Stephen F.Mhina 2024
Mwalimu John James
Mawazo Mazuri
Mwalimu John James
Umuhimu wa Kukua Kiroho Part 2
Mwalimu John James
Umuhimu wa Kukua Kiroho Part 1
Mwalimu John James
Umuhimu wa Hekima Part 2
Mwalimu John James
Umuhimu wa Hekima Part 1
Mchungaji Stephen Anaamini kwamba, Mkristo akishafundishwa juu ya Imani ya Mungu wa kweli, ataweza kujitegemea na kumuuishi Mungu ambapo hatimaye ataishi na Mungu; Hivyo basi itasababiha Ibada zetu ziwe na nguvu za Mungu kufanya mabadiriko chanya ya kimaendeleo; Hapa ndipo ndipo tutaweza kufanikiwa kuhubiri Injili duniani yenye mafanikio. "Marko 16:15-16 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Tag Shekinah Church
Shekinah Intercessory Temple