Digital Library
KARIBU KWENYE MAKTABA YA DOCUMENTS YA SHEKINAH
3. Fahamu Misingi ya Imani yetu.
4. Fahamu Tamko la Tag Kuhusu Ushoga.
5. Mafundisho Muhimu ya Vijana.
6. Walaka wa Kanisa kuhusu Mafuriko Hanang.
Mchungaji Stephen Francis Muhina Anaamini kwamba, Mkristo akishafundishwa juu ya Imani ya Mungu wa kweli, ataweza kujitegemea na kumuuishi Mungu ambapo hatimaye ataishi na Mungu; Hivyo basi itasababiha Ibada zetu ziwe na nguvu za Mungu kufanya mabadiriko chanya ya kimaendeleo; Hapa ndipo ndipo tutaweza kufanikiwa kuhubiri Injili duniani yenye mafanikio. "Marko 16:15-16 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Tag Shekina Church
Shekinah Intercessory Temple