• We are Located near Skanda Secondary School, Mwinyi Street - Tabora

Kuhusu Taasisi ya TPF

Mfuko wa Mafao wa Tumaini (TPF) ulianzishwa 01/01/2019 na kanisa la TAG ili kutoa huduma za hifadhi ya jamii kwa watumishi wake.

KWA MAELEZO ZAIDI, BONYEZA HAPA / PLEASE CLICK ME FOR DETAILS


MaonoKuwa Mfuko wa mafao wa mfano kwa mifuko mingine ya ziada nchini.

DhimaKutoa huduma bora ya hifadhi ya jamii kwa watumishi kwa kuzingatia misingi ya imani ya kanisa.