• We are Located near Skanda Secondary School, Mwinyi Street - Tabora

Kuhusu Taasisi ya Uwezo
Tumekufikia, Unafanikiwa


Uwezo Financial Services Limited (UFSL) ni taasisi inayomilikiwa na kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG). Kampuni ya Uwezo inatoa mikopo midogo midogo na ya kati kwa makanisa, Taasisi za Makanisa, idara za kanisa (WWK, CAS na CMF), Wachungaji na washirika. Kampuni ya Uwezo ina lengo la kuwawezesha watanzania kukabiliana na changamoto za kiuchumi na kifedha kwa kutoa mikopo ya riba nafuu kwa wateja wake nawengine.

KWA MAELEZO ZAIDI, BONYEZA HAPA / PLEASE CLICK ME FOR DETAILS


MaonoKua taasisi ya kitaifa inayoongoza kwa kutoa mikopo ya riba nafuu kwa wateja wake.


Bidhaa zetuMikopo kwa maendeleo ya Kanisa Mkopo binafsi Mikopo kwaajili ya bIashara zilizo sajiliwa (rasmi).