Fahamu Kuhusu Bezaleli
Angalia, nimemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda; nami nimemjaza Roho ya Mungu, katika hekima, na maarifa, na ujuzi, na mambo ya kazi ya kila aina, ili abuni kazi za ustadi, kuwa fundi wa dhahabu, na wa fedha, na wa shaba, na kukata vito kwa kutiwa mahali, na kuchora miti, na kufanya kazi ya ustadi iwayo yote. Kutoka 31:2-5 (SUV).
Bezazeli ni Mfumo wa Kusajili kamati za majimbo, sehemu pamoja na kamati za idara na ngazi zote
Bezazeli hurahisisha watumishi na viongozi kuomba vitambulisho kwa kupakia picha na sahihi
Bezaleli husaidia kupata Taarifa za mwenendo wa utekelezaji wa mpango mkakati katika kila ngazi
Bezaleli husaidia Watumishi kusajili Taarifa za huduma zao, Sehemu ziliko na Majimbo yao
Bezaleli husaidia Watumishi kupata taarifa za kifedha katika ngazi zote za Kanisa Nchi Nzima
Bezaleli husaidia Watumishi kufanya Malipo mbali mbali ya kanisa kwa njia ya Control Numbers
Shekinah Intercessory Temple