Digital Library
Karibu kwenye Maktaba ya Vitabu ya Shekinah
1. Utangulizi wa Maandiko Matakatifu- Biblia/The Bible.
3. Utangulizi wa Mathayo Mtakatifu.
Mchungaji Stephen Francis Mhina Anaamini kwamba, Mkristo akishafundishwa juu ya Imani ya Mungu wa kweli, ataweza kujitegemea na kumuuishi Mungu ambapo hatimaye ataishi na Mungu; Hivyo basi itasababiha Ibada zetu ziwe na nguvu za Mungu kufanya mabadiriko chanya ya kimaendeleo; Hapa ndipo ndipo tutaweza kufanikiwa kuhubiri Injili duniani yenye mafanikio. "Marko 16:15-16 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Tag Shekinah Church
Shekinah Intercessory Temple