Misingi ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG)
Fahamu Misingi 16 ya Kanisa la TAG Tanzania
Mchungaji Stephen Francis Muhina Anaamini kwamba, Mkristo lazima afanye kazi kwa bidii ndipo afanikwe katika maisha yake. Anasema inapaswa mtu kuwa hodari katika Bwana na katika uwezo wa Nguvu zake. Mtu hodari ana sifa zifuatazo; Hudiriki kufanya mambo ambayo wengine huogopa kuyafanya (Risk taker, Ni jasiri kufanya mambo/maamuzi magumu yanayopingana na mazingira yanayo mzunguuka (Esta 5:1-5) Hatishwi na adui bali humkabiri, Haendeshwi na mazingira bali husimamia malengo yake na focus yake. na Hakatishwi tamaa na maneno ya watu (1 sam 17:41-45)
Tag Shekina Church
Shekinah Intercessory Temple